H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,146 Reaction score 3,830 Oct 31, 2015 #1 Husika heading hapo... Nipo Dar na ninaitaka hiyo simu. Xperia Z jamani....na wala sio Z1 wala Z2...bali ni Xperia Z kama ambavyo nimeiweka hapo. Mwenye nayo tuongee bei fasta.
Husika heading hapo... Nipo Dar na ninaitaka hiyo simu. Xperia Z jamani....na wala sio Z1 wala Z2...bali ni Xperia Z kama ambavyo nimeiweka hapo. Mwenye nayo tuongee bei fasta.