LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,204
wa kuu naamini humu kuna mafundi nawatu wanaojihusisha na magari sana kama sio kutengeneza kutumia au kuuza.shida yangu ni wiring diagram ya pin za control box.gari yenyewe ina engine ya 1MZ FE na control box yenyewe ina maboya matano na ningazi 4.
usije ukanishauri kuwa niende toyota wao wamesema hawana nimesikitika sana kusikia hivyo so matatizo ya magari ya toyota sijui ni wapi yatapata tiba sahihi na inayostahili.kama hata wao wanao dili na toyota hawana.
au kama kuna mdau yeyote humu anaweza nielekeza wapi na weza pata au kwenye website gani naweza pata au kama kuna mtu anafahamiana naye anayefanyia toyota nje ya tanzania plz anisaidie. harrier yenyewe ni ya mwaka 2007