Natafuta wireless Router ya kununua

Natafuta wireless Router ya kununua

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Habari wakuu, natafuta wireless router ya kununua ambayo ina-support sim card zote. Kama unayo na unaizuza tafadhali usisite kunicheki kwa namba yangu 0655003510. Ahsanteni
 
mbona zinapatika kwa Wingi sana mkuu, tafuta DLink Dir 450 hata Dir 315, wewe unapatika mkoa gani kwani
 
Niko mjini Daslam hapa. Kwa wingi sehemu gani mazeee?!
 
Back
Top Bottom