Jamani wadau wa jukwaa hili naomba mwenye link ya kudownload wimbo wa hard mad ft fatma- tamala anisaidie.
Ni wa kitambo kidogo link nazopata naona hazifanyi kazi hivyo mwenye link anisaidie maana unanikumbusha mbali
ni kweli ila alitoa na mwimbo unaitwa ni WEWE aisee huyu jamaa anajua
Ni kazi ya mikono ya Mika Mwamba. Yule jamaa alikuwa kiboko, I wish angerusi gemuni hata leo. Ndie ali priduce album ya Historia ya kweli ya Dully Sykes, nyimbo za Bwana Misosi (Mabinti wa Kitanga), D Knob (elimu Mitaani), Pico (Kikongwe) na wengine kibao!yap... i know the song, but tamara ni habari nyingine,..
😀😀😀That was then when blackberries and apples were still fruits not gadgets...
na pia nyimbo za dudubaya zilizo hit...Ni kazi ya mikono ya Mika Mwamba. Yule jamaa alikuwa kiboko, I wish angerusi gemuni hata leo. Ndie ali priduce album ya Historia ya kweli ya Dully Sykes, nyimbo za Bwana Misosi (Mabinti wa Kitanga), D Knob (elimu Mitaani), Pico (Kikongwe) na wengine kibao!
Ulitoka mwaka 2006, yule mzungu kutoka Finland alikuwa aki-produce ngoma lazima ibambe.Nimefukua huu Uzi maksudi.
Hivi 2014 watu wanasema hard mad nyimbo yake haipigwi..😅 hivi
Tamalq imetoka lini tukumbushane aisee, ni moja ya nyimbo kali kali mno.
Ulitoka miaka ya nyuma zaidi kuliko huo 2006Ulitoka mwaka 2006, yule mzungu kutoka Finland alikuwa aki-produce ngoma lazima ibambe.
Mika Mwamba ni Mzungu?Ulitoka mwaka 2006, yule mzungu kutoka Finland alikuwa aki-produce ngoma lazima ibambe.
Basi enzi hizo nilikuwa dogo sana..Ulitoka miaka ya nyuma zaidi kuliko huo 2006
Ndiyo na alisharudi kwao Finland walipoanza kumuwekea fitna. Yule ndiye Producer hakuchagua muziki, wowote ananyonga beat. Fikiria nyimbo ya Muumini Mwinjuma akiwa Double M sound kama vile Tunda ni mkono wake. Albamu nzima ya Saida Karoli yenye nyimbo kama Maria Salome ni mkono wakeMika Mwamba ni Mzungu?
Itakuwa maana Tamala ni ya muda sana 2002 au 2003 hiviBasi enzi hizo nilikuwa dogo sana..
Nilikuwa sijui aisee....Ndiyo na alisharudi kwao Finland walipoanza kumuwekea fitna. Yule ndiye Producer hakuchagua muziki, wowote ananyonga beat. Fikiria nyimbo ya Muumini Mwinjuma akiwa Double M sound kama vile Tunda ni mkono wake. Albamu nzima ya Saida Karoli yenye nyimbo kama Maria Salome ni mkono wake
Ngoma kama ya 2018 yaan ukiiskia nwItakuwa maana Tamala ni ya muda sana 2002 au 2003 hivi
Kwa hiyo unakubaliana na kilichoimbwa?Baby tamala usiku mzima sijalaaa.....ulikuwaga mzuri