Natafuta WIMBO WA CCM Mbele kwa Mbele

Natafuta WIMBO WA CCM Mbele kwa Mbele

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habari
Ninaomba mwenye wimbo wa CCM MBELE KWA MBELE aniwekee hapa ili niweze kuu download. kwa kunipa LINK Nimeutafuta Youtube haupo.

msaada tafadhali
 
Habari
Ninaomba mwenye wimbo wa CCM MBELE KWA MBELE aniwekee hapa ili niweze kuu download. kwa kunipa LINK Nimeutafuta Youtube haupo.

msaada tafadhali

Mi ninao lakini czijui process za kuweka wimbo hapa
 
Hahaha Mkude Simba we nooma.
Watu washindwe wenyewe sasa,ila wengine kuutoa hapo ndio issue.
Bora anavyofanya Galadudu kwenye whatzup
 
Huu wimbo unapamba sana, mwenye nao auweke hapa kwa faida ya watu wengi wanaoutafuta wimbo huu.
 
Back
Top Bottom