Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 573
- 5,017
Nitumie sms WhatsApp
Michicha mwiba ni Lowassa na MboweMijitu mingine bureee kabisa yan unakuta janaume zima linatoa namba yake humu eti nitumie nyimbo mbele kwa mbele hicho kiitikio tu kimekaa kishambenga shambenga wa waitikiaji wake ni wanawake sasa nashangaa hii michicha mwiba sijui itakua inaimbaje shame on youuu wotee ma bajomba unaoomba huo upuuzi
Mijitu mingine bureee kabisa yan unakuta janaume zima linatoa namba yake humu eti nitumie nyimbo mbele kwa mbele hicho kiitikio tu kimekaa kishambenga shambenga wa waitikiaji wake ni wanawake sasa nashangaa hii michicha mwiba sijui itakua inaimbaje shame on youuu wotee ma bajomba unaoomba huo upuuzi
Uzi wa magamba,wimbo mbovu wa nini sasa
Worst ever critical thinker at his best!maswala ya critical thinking yako hivi: mwanaume anayeomba wimbo wa ccm ni mchicha mwiba, babaako ni mwanaume, na kama ni mwanaume na anaipenda ccm inamaana na huo wimbo anaupenda, hivyo basi tuna conclude kwamba na babaako ni mchicha mwiba. sio mimi lakini ni wataalamu wa hayo mambo ndo wanasema.
Mwenye huo wimbo naomba atuwekee hapa tuupakue kwenye simu zetu jamani...
Wanajf wengi tunauhitaji..
Ni mimi mr yahoo aka afya kwanza
ninao sijui niurusheje au niwekeje hapa