Kama upo Dar, ukiwa Biafra kaa upande wa ilipo Ben Pub, kisha anza kutembea kama unaifuata Ben Pub ukiwa unakaribia kituo cha Mwendokasi utakuta kuna duka linauza vitu mbalimbali, baiskeli, magita, majokofu na wheel chairs wanazo.Salamu kwenu.
Natafuta wheel chair iwe mpya au used kwa ajili ya mgongwa mtu mzima mwanaume.
Mwenye kuwa nayo naomba anitumie PM.
Wasalaamu,
Mwenzetu
none