Natafuta watu wanaosoma masters of education

BenB

Member
Aug 30, 2011
7
0
Natafuta sana watu wanaosoma au waliosoma masters of Education hasa MED APPS (Masters of Ed in Administration Planning and Policy Studies) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kufanya discussions na kushare learning materials. Tafadhali naomba tushirikiane katika hili. Nitatoa mawasiliano kwa aliye tayari
 
Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
652
278
Natafuta sana watu wanaosoma au waliosoma masters of Education hasa MED APPS (Masters of Ed in Administration Planning and Policy Studies) kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kufanya discussions na kushare learning materials. Tafadhali naomba tushirikiane katika hili. Nitatoa mawasiliano kwa aliye tayari

Tafuta wanaosoma Mliman inaitwa MEMA [Management of ed. And administration] au hata wanaosoma master of arts with ed.[MA.ED] Kuna kozi wanashare. Unasoma au?
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,499
62,704
Ni-PM au sema exactly unachokitaka, naweza kukusaidia! Not publicly
 
BenB

Member
Aug 30, 2011
7
0
Nasoma OUT (Open University ) thatz y nimeomba company on that
 
BenB

Member
Aug 30, 2011
7
0
Nasoma OUT (Open university) so nahitaji wa2 ili tushee materials n knowledge
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom