NATAFUTA WATENGENEZAJI WA VIFUNGASHIO VYA MIFUKO YA PLASTIC

Nakupa njia rahisi kama utaweza
chukua aina ya mifuko unayotaka kutumia na inapatikana maduka mengi tu kariakoo ambayo ni plain(aina maandishi)kisha tafuta mtu akutengenezee nembo yako unayo taka iwe kwenye mifuko iyo nenda nayo sehemu wanazo print tishert watakutengenezea kitu kinaitwa screen nunua na rangi kwao ya ku printia baada ya hapo utakuwa una gonga nembo kwenye mifuko yako kama unavyo piga mihuri tu kwenye karatasi kwa kutumia hiyo screen
 
Absolute printing services tunaprint na kutengeneza vifungashio vya Aina zote 0768597186
 
Nakupa njia rahisi kama utaweza
chukua aina ya mifuko unayotaka kutumia na inapatikana maduka mengi tu kariakoo ambayo ni plain(aina maandishi)kisha tafuta mtu akutengenezee nembo yako unayo taka iwe kwenye mifuko iyo nenda nayo sehemu wanazo print tishert watakutengenezea kitu kinaitwa screen nunua na rangi kwao ya ku printia baada ya hapo utakuwa una gonga nembo kwenye mifuko yako kama unavyo piga mihuri tu kwenye karatasi kwa kutumia hiyo screen
Asante mkuu, umenisaidia na mimi

invest what you are willing to lose
 
Kwa mambo yanavyoenda naona na sisi tutapigiwa marufuku
00c4d1c6f40954dd957c7b2ea929f396.jpg
 
Nakupa njia rahisi kama utaweza
chukua aina ya mifuko unayotaka kutumia na inapatikana maduka mengi tu kariakoo ambayo ni plain(aina maandishi)kisha tafuta mtu akutengenezee nembo yako unayo taka iwe kwenye mifuko iyo nenda nayo sehemu wanazo print tishert watakutengenezea kitu kinaitwa screen nunua na rangi kwao ya ku printia baada ya hapo utakuwa una gonga nembo kwenye mifuko yako kama unavyo piga mihuri tu kwenye karatasi kwa kutumia hiyo screen
Ahsante kwa muongozo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom