kidmanblessedkid
Member
- Jan 6, 2015
- 18
- 2
Ninampango wa kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza matofali kwa bei nafuu kwa kutumia technology ya ya hydraform, kwa upande wa huku arusha sijajua nawapata wapi hawa wataalum wa kutengeneza mashine hizi.kwa anayefahamu naomba anisaidie