Natafuta wateja wa Mbuzi

Natafuta wateja wa Mbuzi

supermama

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Soko la mbuzi wa rejareja..

WanaJF,

MimI huwa nafuata Mbuzi Handeni. Nilianza na wachache sana, sasa Mungu kanijalia naweza nikaleta hadi 10 au 8.

Sasa natafuta wateja wa rejareja!
 
Mbuzi,wanaanzia 90000,na wanapatikan maeneo ya kwa komba,mbezi,tanki bovu,
 
Wanaanzia 90000,wanapatikana maeneo ya mbezi beach kwa komba,
 
Soko la mbuzi wa rejareja..

WanaJF,

MimI huwa nafuata Mbuzi Handeni. Nilianza na wachache sana, sasa Mungu kanijalia naweza nikaleta hadi 10 au 8.

Sasa natafuta wateja wa rejareja!
tunakupataje? be serious!
 
Inawezekan na mim mzigo kwa sas,umeish,na subir uchaguz uishe kwanza
 
weka PICHA ili nijiridhishe na AFYA zao kwanza wasije wakawa kama wale wa VIN....UTI
 
Back
Top Bottom