Mmmh KWA Bei hiyo Mkuu utauza Kweli? Hapa nikipo gunia Tsh 30000/= la debe 6NAUZA ELFU TISINI GUNIA LA DEBE SITA
Kaka hiyo bei ya gunia la mpungaNAUZA ELFU TISINI GUNIA LA DEBE SITA
Tafuta south Sudan, ukitulia kwenye mtandao utapata hata contacts za wafanyabiashara hukowakuuu tupate hata Bei ya nnje ya nnchi nipo tayari kusafirisha wakuuu
kenya 1600-1700kshs/90kgs bagHabari, Ndugu zangu Mimi na magunia ya mahindi yapo 6500 ninaomba kwa ambae anajua sehem mahindi yalipo na Bei nzr .
Ntashukuru Sana na Kama ikiwezekana mawasiliano yao niyapate ntashukuru sana
hali bado ushwari,utaumiaTafuta south Sudan, ukitulia kwenye mtandao utapata hata contacts za wafanyabiashara huko
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi huko
Mkuu kwa hii bei ukipata huko nje utakuja nikuuzie yangu kwa bei cheee ....NAUZA ELFU TISINI GUNIA LA DEBE SITA
soma#12wapi huko