Natafuta wataalamu wa Zabuni

Natafuta wataalamu wa Zabuni

Joined
Feb 20, 2015
Posts
27
Reaction score
10
Nawaomba wana JF mnisaidie kufahamu ni wapi hapa Dar naweza kupata wataalamu waandaaji wa "Tender Documents" kwa ajili ya kushindania zabuni.
Nahitaji kufahamu pamoja na gharama. Endapo wao watapenda wenyewe kuwasiliana nami, tuwasiliane kwa 0784411525
 
Watakuja, lakini ukumbuke zabuni haipiti kama una mkono mfupi!

Bongo yetu hii!
 
Mkuu jaribu kuwasiliana na jamaa waitwao M/s Dalton Consultancy kwa namba 0757362167. Wako pale barabara ya Bibi Titi Mohamed karibu na CBE. Wengine ni M/s Stet International (T) Ltd wanaopatikana kwa namba 0785470915 na 0754321825. Hao wapo Kinondoni Ada Estate. Kila la heri.
 
Back
Top Bottom