What is that stanford duty? Imetokeaje tokeaje katika maelezo uliyoyapata kuhusu hiyo?Habari zenu wakuu.
Mwenye uelewa naomba aniisaidie hapa Natafutaa warehouse kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo, either kwa kupanga au kununua kabisa...
Hii nimeambiwa na mtu niliyeanza kumuuliza mara ya kwanza kabisa.Nimejiuliza pia sijawahi sikia duty au tax yoyote ya jina hili. As Mimi sio mzoefu wa biashara nikaona nililete hapa may be naweza kuelimishwa zaidi.What is that stanford duty? Imetokeaje tokeaje katika maelezo uliyoyapata kuhusu hiyo?
Warehouse umetumia neno kali sana mpaka nagugo nasgindwa kupata concept. Ni godauni? Ni stoo?
Mimi mwenyewe sijaelewaWarehouse umetumia neno kali sana mpaka nagugo nasgindwa kupata concept. Ni godauni? Ni stoo?
Kumbe stoo? Kwa kawaida naonaga stoo ni floor ya tatu huko.. wachache wamepata undergound lakini kariakoo expensive sana kwa stoo kwann usinunue hata mbagala au tabata huko unatoa mzigo kidogo kidogo unapeleka shop. Mana experience nilio nayo ya wafanyabiahsra wakubwa kariakoo wamefanya hivyo hasa wanaouza vifaa vya spare magari/pikipiki na baadhi ya wauza pochi. Lakini stoo kw urahsi na cheap ungetafuta upande ule wenye unaouza majora ya vitambaaHapa ni stoo mkuu.
Kumbe stoo? Kwa kawaida naonaga stoo ni floor ya tatu huko.. wachache wamepata undergound lakini kariakoo expensive sana kwa stoo kwann usinunue hata mbagala au tabata huko unatoa mzigo kidogo kidogo unapeleka shop. Mana experience nilio nayo ya wafanyabiahsra wakubwa kariakoo wamefanya hivyo hasa wanaouza vifaa vya spare magari/pikipiki na baadhi ya wauza pochi. Lakini stoo kw urahsi na cheap ungetafuta upande ule wenye unaouza majora ya vitambaa
Kariakoo stoo inaanzia kiasi gani? Je unaweza kuwa na stoo tu ukafanya biashara bila ya kuwa na flemu?Kumbe stoo? Kwa kawaida naonaga stoo ni floor ya tatu huko.. wachache wamepata undergound lakini kariakoo expensive sana kwa stoo kwann usinunue hata mbagala au tabata huko unatoa mzigo kidogo kidogo unapeleka shop. Mana experience nilio nayo ya wafanyabiahsra wakubwa kariakoo wamefanya hivyo hasa wanaouza vifaa vya spare magari/pikipiki na baadhi ya wauza pochi. Lakini stoo kw urahsi na cheap ungetafuta upande ule wenye unaouza majora ya vitambaa
Hapana, labda uwe na wateja tayari mana kariakoo biashara zake ni macho kuona. Stoo utauzia wanaokujua tu. Tena wa hapohapo kariakoo au pointa kitu ambacho kwa mfanya biashara mgeni si rahisi kusavaivuKariakoo stoo inaanzia kiasi gani? Je unaweza kuwa na stoo tu ukafanya biashara bila ya kuwa na flemu?
Nimekuelewa na asante sana mkuu.Hapana, labda uwe na wateja tayari mana kariakoo biashara zake ni macho kuona. Stoo utauzia wanaokujua tu. Tena wa hapohapo kariakoo au pointa kitu ambacho kwa mfanya biashara mgeni si rahisi kusavaivu