Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

Natafuta wanunuzi wa pilipili mbuzi

sunchez

Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
68
Reaction score
23
Habari wadau natafuta wanunuzi wa Pilipili Mbuzi ziko SHAMBANI tayari kuvunwa idea na soko kiko inipe.
 
Habari wadau natafuta wanunuzi wa Pilipili Mbuzi ziko SHAMBANI tayari kuvunwa idea na soko kiko inipe.
unauza kwa kiroba au unauzaje?
pilipili ziko wapi?
nahitaji.
 
10c24d7e4c0b6f1ad5cd87984fe2dcfc.jpg
 
mkuu samahani gharama ulizotumia mpk umevuna hizo pilipili ni shingap nisaidie
 
Umejaribu kucheki soko la kigogo sambusa? Manake najua pale ndio kuna wanunuzi. Mi mwenyewe nimelima zao hilo.
 
Mkuu kwema,

Hongera sana kwa hatua uliyofikia na Mungu akupe wepesi wa masoko.

Umesema umetumia 2M mpaka kufikia hapo,

Kama hutajali mkulima hebu tupe tips kidogo za hicho kilimo,

Kwa maana ya ujumla wake urahisi na Ugumu,

Kwa moyo mkunjufu kabisa hongera sana kwa hatua hiyo.
 
Akikujibu nitag kiongozi wangu
 
Back
Top Bottom