Natafuta wanunuzi wa mayai

Mbeya mjini,tray mayai yenye Baba tsh 9000,nitafute 0765432283
 
HAPANA JUMLA 5000
 
Vipi mkuu, biashara inaendaje mkuu maana ulikuja na bei ya juu sana. Ndio kwa mara ya kwanza niliona mayai ya kisasa yamefika 11000 kwa bei ya jumla
 

Kwa Azizi Ally,mtongani mpaka saba saba vitu wanauza bei chee mfano kilo ya nyama elfu 4500-5000 , trey ya mayai jumla 5500 na rejaleja 6000 nishawishi niache kununua trey elfu 5500 nije kununua elfu 11,000 ondoa fact ya kiini kua cha njani coz ata hayo yana kiini cha njani
 
Tupo kwenye soko huria, soko ndio linaamua bei ya vitu.
Sasa yeye kaamua kujiwekea bei yake bila kujua soko lipoje
 
wakuu mnajua huu uzi wa mwaka gani?
 
Tafuta patner ulete kanda ya ziwa saivi mayai tunanunua mpaka 12,000 trei , mayai hakuna mwanza na shinyanga
 
Mayai yapo tray moja 7500
Kwa siku unapata tray Mia Tena kwa kutoa order, wahitaji ni wengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…