amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Unahitaji kila siku tray ngapi? Naomba no yako
Unahitaji kila siku tray ngapi? Naomba no yako
Bado unayo mayaiMayai yapo tray moja 7500
Kwa siku unapata tray Mia Tena kwa kutoa order , wahitaji ni wengi.
biashara za kulipana baada ya week uongo, mayai tray iuzwe bei inayoeleweka sawa.Kuna Bakery zinatumia Trey 70 kwa siku zungukia Bakery sema wanalipa baada ya wiki 2
Yapo ila bei imeongezeka kidogo unahitaji tray ngapBado unayo mayai