3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,580
- 16,278
Akifanya kwa bei hii uliyomshauri wateja wapo wengi tu na ninaweza kufanya naye biashara ila kwa bei hiyo ni kubwa sanaHayo huwezi kuuza kama ya kienyeji,kwakuwa rangi ya gamba la juu ni sawa na ya kisasa,kumwambia mteja anunue kwa 500 kwakuwa tu kiini ni cha njano,mteja hataamini,
kwa ushauri tu fanya bei ya jumla 8500 uingize hela faster faster,
kama itakulipa lakini,
bei ya mwisho wa madukani uzia 10500 kama kweli yana ukubwa wa kuridhisha
Mwenye mayai kajibu na hajaona kama ni mchezo wewe ambae hauna mayai unaona mchezo sio?Watu mko na mchezo aiseee
Mayai chotara
Mkuu hiyo ni wewe unasema. Mimi nauza trey kwa 11,000 Tsh, hizo zingine bei unazo panga ni wewe.Mfugaji mwenye kuku 13000+ ila hajui soko wala bei ya jumla na reja reja......
Reja reja ndio 11000
Jumla ni 9000-9500
Mzigo mkubwa huo ukiupunguza bei unaisha mapema.
Ukibakia na bei yako hiyo utayala mwenyewe
Mkuu ufugaji wangu ni wa kisasa na nimefuga kwa kuzingatia kila kitu, kwa hiyo nimejarbu kupiga hesabu nikiuza kwa hiyo bei ndio ntarudisha pesa yangu.sijui nasema vibaya lakini huu ni ushauri wangu!
dodoma kwa sasa mayai yamepungua sana "tunapata tabu sana" tray limefika shillingi 10,000/- hivyo kama ukiweza kuyaleta kwa bei ya jumla mpaka yanafika ikawa 9000/- unaweza kuwa na wateja wazuri. piga hesabu zako kama inalipa jipange kuuza kipindi hiki cha baridi kuna soko zuri kwa kuwa utagaji umeshuka.
Ok fine!Hayo huwezi kuuza kama ya kienyeji,kwakuwa rangi ya gamba la juu ni sawa na ya kisasa,kumwambia mteja anunue kwa 500 kwakuwa tu kiini ni cha njano,mteja hataamini,
kwa ushauri tu fanya bei ya jumla 8500 uingize hela faster faster,
kama itakulipa lakini,
bei ya mwisho wa madukani uzia 10500 kama kweli yana ukubwa wa kuridhisha
hongera sana MWENYEZI MUNGU akakupe kibali na upendeleo uweze kuuza kumb 28:5-6Mkuu ufugaji wangu ni wa kisasa na nimefuga kwa kuzingatia kila kitu, kwa hiyo nimejarbu kupiga hesabu nikiuza kwa hiyo bei ndio ntarudisha pesa yangu.
Bei kubwa sana kwasasa bei imesimama 5,500/= ila kwangu nauza 6,800/= MoroNatafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0755916087.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Nina office hapo Gairo karibu na Kibaigwa nauza kwa 8,500/= ukihitaji nitafute tufanye biasharasijui nasema vibaya lakini huu ni ushauri wangu!
dodoma kwa sasa mayai yamepungua sana "tunapata tabu sana" tray limefika shillingi 10,000/- hivyo kama ukiweza kuyaleta kwa bei ya jumla mpaka yanafika ikawa 9000/- unaweza kuwa na wateja wazuri. piga hesabu zako kama inalipa jipange kuuza kipindi hiki cha baridi kuna soko zuri kwa kuwa utagaji umeshuka.