nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
Habari,natafuta wakulima wanaolima mazao haya,maharage,njegere,mahindi,mananasi na Michele niwasaidie namna ya kupata masoko makubwa ya mazao yao,wawe Tayari hayo mazao yapo shambani bado hawajavuna au wawe Tayari wamevuna ila sio mda mrefu!
Wanitafute WhatsApp 0719269820!
Nb: nahitaji wakulima tu sitaki madalali au mawakala wa aina yoyote!
Wanitafute WhatsApp 0719269820!
Nb: nahitaji wakulima tu sitaki madalali au mawakala wa aina yoyote!