gidy boy Member Joined Mar 12, 2014 Posts 39 Reaction score 5 Aug 14, 2022 #1 Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan
M maruudaniel JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 888 Reaction score 1,075 Aug 18, 2022 #2 gidy boy said: Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan Click to expand... Uko mkoa gani
gidy boy said: Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan Click to expand... Uko mkoa gani
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 378 Reaction score 328 Aug 19, 2022 #3 gidy boy said: Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan Click to expand... Karibu tukuhudumie
gidy boy said: Habari wadau Mimi natafuta wakiri aweze kunisaidia maswala yangu binafsi mana nahisi kuna uonezi fulan Click to expand... Karibu tukuhudumie
Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,664 Reaction score 8,277 Aug 20, 2022 #4 chapangombe said: Karibu tukuhudumie Click to expand... Anatafuta Wakiri au Wakili Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
chapangombe said: Karibu tukuhudumie Click to expand... Anatafuta Wakiri au Wakili Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 378 Reaction score 328 Aug 20, 2022 #5 Linguistic said: Anatafuta Wakiri au Wakili Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hhhhhhh ni typing error mkuu nadhani hiyo
Linguistic said: Anatafuta Wakiri au Wakili Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hhhhhhh ni typing error mkuu nadhani hiyo
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,671 Reaction score 7,350 Aug 20, 2022 #6 Kama unahisi uonevu huna uhakika hapo tayari umefeli! Unahisi kuonewa huwa uhakika kuwa unaonewa?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Aug 20, 2022 #7 Mawakili wapo ni pesa yako tu
BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5,104 Reaction score 14,029 Aug 20, 2022 #8 Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe.
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,957 Reaction score 9,431 Aug 20, 2022 #9 BabaMorgan said: Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe. Click to expand... Nimependa sana wazo lako BabaMorgan,ni kweli tukiweka wazi humu Mambo ya kisheria unaweza pata msaada kwa haraka zaidi! Mambo mengi ya kuitana chember mwisho wake mnaishia kulaumiana tu!!
BabaMorgan said: Funguka yaliyokukuta humu wanasheria tupo wengi sana tunaweza kukupa muongozo ukalimaliza mwenyewe. Click to expand... Nimependa sana wazo lako BabaMorgan,ni kweli tukiweka wazi humu Mambo ya kisheria unaweza pata msaada kwa haraka zaidi! Mambo mengi ya kuitana chember mwisho wake mnaishia kulaumiana tu!!