Natafuta Wahasibu 3 na Customer services 3

kuna mdau huku anatafta kazi Avatar ake inaitwa dracular ana gedree sijui ya nini tena!!

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Embu muite huku kwenye fursa maana kule kaongea kwa uchungu sana aiseeh
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Maombi yanatumwa CV au email tu inatosha ?
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Dada Sara naomba unisaidie kwa hali na mali nipate hiyo nafas nisitiri mwenzio nisiabike maana yangu kimaisha si nzuri familia inanitegemea mie.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah maskini Tanganyika hela zote za kuajiri watumishi wapya na kuwapandisha madaraja wa zamani zimetumika kununua bombadia na kujenga airport chaaaatooh vijana wanatamani sara angetangaza hata nafasi 500
 
Natafuta Wafanyakazi Wahasibu Watatu na Customer services Watatu ambao Wataweza Kufanya kazi Katika Kampuni yangu.... Kampuni inahusika na Ukopeshaji Wa Fedha hapa hapa Dar es salaam. Sifa Diploma holder au Digree. Any one interested atume Maombi yake : Email sararaphael088@gmail.com.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kazi yako nakushauri tafuta pia wanasheria hata mmoja anayejua sheria vizuri atakufaa!! Pia tafuta baunsa mmoja maana ukimkopesha mtu pesa kurudisha ni mziki hapo lazima baunsa ahusike!! Yote kwa yote unahitaji mwanasheria!!

Hongera sana na huo ndio ushauri wangu!!
 
This is the registered company, it doesn't need either Mwanasheria or Baunsa....... We work with small enterprise ambao wako registered pia and they have got authority ya kukufilisi endapo mteja hajafanya marejesho.!

Back
Top Bottom