kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Ni maelewano tuuMshahara elfu hamsini kwa mwezi na juisi ya miwa wanakunywa hapo hapo.
Ukipata amabye hajui unaweza kumuelekeza ili ajue au unataka wajuziNi maelewano tuu
Kule ni shift mkuu hakuna mda wa machine kupumzika, atoke mtu aingie mtu.Mda wa kazi ni kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi?
how aboutNna mashine za kukamua juice za miwa 12, tano tayari zina watu hizo saba zilizobak natafuta vijana wachapakazi kila mmoja nimuweke kwenye mashine yake apige kazi, zote zipo Dar
TANZANIA YA VIWANDA
ok, nimekusomaKule ni shift mkuu hakuna mda wa machine kupumzika, atoke mtu aingie mtu.
Nahitaji mwenye uzoefu kidogoUkipata amabye hajui unaweza kumuelekeza ili ajue au unataka wajuzi
mkuu nina Masters ya Industrial Engineering.. Je unaweza kuniajiri.. JE mshahara vepe..Nahitaji mwenye uzoefu kidogo
Amualike Dr. Shika au Babu Seya maana hao ndio talk of the town!!Mkuu kama hujamwita Waziri kuja kuzindua kiwanda chako nicheki nikufanyie mpango wa kupata mtu wa kukuzindulia kiwanda chako.