Natafuta wafanyakazi ktk clinic yangu

Natafuta wafanyakazi ktk clinic yangu

Nyrum

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
124
Reaction score
41
habari wanajamvi, natafuta binti au kijana alietayari kufanya kazi ktk clinic yangu ipo dar Tabata Aroma ndan ya jengo la Aroma house. clinic ni ya tiba mbadala. mwenye sifa zifuatazo anakaribishwa; Awe amemalza form 4 au form 6 lakini awe na certificate au diploma ya nursing au medicine. Unakaribishwa kwa maelezo zaid nicheck kny 0658738888 au niPM . muda ni siku7 tangu leo.
 
Tiba mbadala halafu unatafuta nurse au medical assistant? You must be joking! Ndiyo nyie mnatumia dawa za kizungu kutibu halafu mnajifanya mnatumia miti shamba. Utapeli mtupu!
 
Tiba mbadala halafu unatafuta nurse au medical assistant? You must be joking! Ndiyo nyie mnatumia dawa za kizungu kutibu halafu mnajifanya mnatumia miti shamba. Utapeli mtupu!

Kama wamasai wanavyosaga viagra na kuweka kwenye ile mitishamba yao!
 
Tiba mbadala halafu unatafuta nurse au medical assistant? You must be joking! Ndiyo nyie mnatumia dawa za kizungu kutibu halafu mnajifanya mnatumia miti shamba. Utapeli mtupu!

Jaribu kuwa mwangalifu unapochangia hoja. Mtoa mada yuko sawa. Labda wewe vipi ndio huelewi lugha ya kiswahili.
 
Kama wamasai wanavyosaga viagra na kuweka kwenye ile mitishamba yao!

Kuna aina mbili za tiba
1. Tiba za jadi
2. Tiba mbadala

1.tiba za jadi ndio ambazo zilitangulia kuwepo toka enzi za mababu na baadae ndipo mambo yaka badilika kukapatikana mbadala wake yaani modern medicine
2. Tiba mbadala ndio hii modern medicine kwahiyo mleta mada yupo sahihi wakuu.
 
Vipi swala la mshahara. Utalipwa kufuata utaratibu wa ngazi za serikali au private hapo hujaainisha kuwafanya watu wasipoteze vocha zao bure.
 
Back
Top Bottom