NATAFUTA wa KUniFIkiSHA.....MSaadA...

Status
Not open for further replies.

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
habari wapendwa natafuta wa kunifikisha zilipo ofisi za JF jukwaa la MMU....Msaada,naona ulikuja kwa kasi nangoja msaada wako
 
fikra zenu mlshazipeleka kwenye pichu.hahahahaaa....
 
Wema huanzia nyumbani pia imesemwa charity begins at home.Mbona usimuombe mmeo akakuonesha zilipo au naye hapajui kwani umemlalamikia mengi kama vile kutoweza kukupa rigwaride mitaa ya chini, lakini hili cjasikia ukilalama.Muulize kama hapajui njoo nimtoroke mwenzio ucku huu nikupeleke turudi asubuhi.
 
Utakuta umevuta sigara kubwaaa siyo bureee
 
Mama nanihiii niletee panadol kichwa kimeuma ghafla.
 
hebu nipm nikupeleke tena bureeeee! hadi ndan
 
habari wapendwa natafuta wa kunifikisha zilipo ofisi za JF jukwaa la MMU....Msaada,naona ulikuja kwa kasi nangoja msaada wako
Dadafua vyema ili nielewe maana nimeelewa vibaya


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nmekuja mbio kweli kweli kumbe sio nlichodhani. Ngoja waje wanaopajua lakini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…