Natafuta vitz au corolla

Natafuta vitz au corolla

kipipili

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
1,587
Reaction score
187
Wadau kama kuna mtu anauza vitz au corolla tuongee biashara. Gari iwe katika hali nzuri na bei iwe poa. karibuni tafadhari.
 
Wabongo kwa Udalali! We kama unauza si utoe bei ya hizo gari?
afadhali umenisaidia. kama unayo toa bei hadharani. hata kama sio mimi nitachukua basi member mwingine atachukua.jamani nasubiri majibu yenu.asante.
 
Kuna vitz inauzwa hapa jirani kwangu dsm. bei 6.5... kama vp ni pm nikupe namba..
 
Wadau kama kuna mtu anauza vitz au corolla tuongee biashara. Gari iwe katika hali nzuri na bei iwe poa. karibuni tafadhari.
Inawezekanaje upate kitu kizuri halafu bei iwe poa? Wish you good luck
 
hapa hamna mwenye gari lakuuza! wote madalali wote njaa tuu. ee bwana kama una mil.6 agiza japan uchukue kitu na box.otherwise utauziwa koroma.
 
kuna watu wanapenda kununua vitu kwa watu hata kama wanajua vinapouzwa, hivi haya ni mazoea au?? kuna kila wakati anaunua simu/fridge/gari kwa watu ilihali angeweza kupata kitu kipya na kizuri dukani kwa bei sawa na hiyo.
 
Kumbe Vitz au corolla...
Mie nauza swift nimeitumia miezi mi3,haina mkwaruzo wala kasoro yoyote! Nataka kubadili gari.
Kwa atakaeitaka Sh 8.5m bila dalali,na kwa malipo ya mara 1.
Ukiitaka nitumie pm.
 
Back
Top Bottom