natafuta Vits | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta Vits

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yo Yo, Jan 7, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mwenye vits tuwasiliane nina mil3 tu......
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mkuu ndogo hiyo, ongeza!!!
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mm nataka 4.5 ni mpya imetumika kama miezi 4
   
 4. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwani umeipoteza?? hiyo mil.3 ni zawadi kwa atakayeipata au?
  ongeza pesa halafu ingia hapa www.tradecarview.com upate bei na hapa www.gariyangu.com upate maelezo kamili jinsi ya kukufikia.
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yo Yo ndo kusema hii ni power ya Mnunuzi?

  Dah. Vitz ya Million3.
  Unataka iliyopata ajali?
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Simama hapo barabarani utaziona kibao zinapita, chukua moja bure nimekupa.
  Ukiona gari imeandikwa vitz halafu ina plate number ya njano, ujue ni ya kwangu.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,960
  Trophy Points: 280
  Anti nikupigie simu ya biashara?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unauza bei cheee
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmh uncle buji khaaaaa
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  vitz zimekuwa deal hapa mujini

  huwez pata kwa hiyo bei
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  eeeeh ndo hivyo
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Vp nikutafute mama?
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uzuri zinanusa wese na foleni za town we unakula mufindi
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  gx100 kwa sasa ukikomaa unaitoa zenji kwa hadi 9m,

  lakin vitz haina negotiation chini ya 6m
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  aisee zile makitu kwa mufindi wacha kabisa......!sehemu yoyote inayopita bajaji kinapita tu.....!

  ahsanteni sana wajapani
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahaha Carina Ti my road je haioni ndani?

  Nasikia hata masafa marefu unaenda kuna jamaa alitoka TA alitumia saa 4 tu yupo Dar
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkuu carina-Ti ukiwa na 6.5m unaipata....lakini vitz huwez pata chini ya 6m.....!halaf wese sasa.....ukiweka la buku tano jua linazama hivi hivi.

  na kinachapa mwendo masafa vile vile....!eisii kama upo lupembe.

  ahsanteni sana wajapani.....!kitu cc 970 CHA HALI YA MTU.

  yoyo hiyo 3m nenda kaitumie jolly,hupati vitz
   
 18. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Vitz lakini si zina matatizo sana kwenye mfumo wake wa electronics au?

  Teamo vp hiyo mbege hapo kwenye picha yako? Bado ipo meku?
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  aisee mi ninaona watu wanachapa nazo maisha tu.....!

  kuna vitz zina miaka hapa zimeshakata miaka mitatu na zaidi,watu wamepaki makruza yao

  asee meku karibu KILAJI...!aafu mwambie wiselady asinifanyie hivyo
   
 20. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  ahhaaa wiselady kakufanyaje tena mkuu..nitamfikishia ujumbe lakini...kumbe bado haujakamilisha hiyo project eh .....angalia usifilisike mkuu!
   
Loading...