msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Wanajamvi natafuta mtu wa Zanzibar ambaye anaweza kuniunganisha nikapata vile vipikipiki viko kama kobe ambavyo nyuma unafuka katairi huwa wapemba wanaviendesha, kama kuna mtu anajua jinsi ambavyo naweza kuvipata anipm wajameni.