Vanlizerfx__
Senior Member
- Jul 7, 2021
- 114
- 191
Cryptosystem ni kubwa minahitaji wafanyakazi wote project ni kubwa kama una ndugu yako mwambie nafasi za kazi zipo awareMbona umerukia kwenye crypto mining wakati mwenye uzi wa awali ulikuwa unazungumzia crypto trading
Mkuu naomba nieleweshe sheria za bongo zinasemaje kuhusu mining na crypto kwa ujumla?Habari wana jamiiforums
Kama mnakumbuka nilitoa thread nilikua nahitaji wafanyakazi kwa ajili ya kutengeneza system kama ya blockchain kwa ajili ya kufanya mining ya cryptocurrency hapa Tanzania
Tumefikia asilimia 40% ya system yetu sababu ya upungufu wa skilled na watu professional katika hizi system mwanzo nilitoa 350K kama mshahara kwa mwezi na sasa sabab ya wataalamu wengi kusema hela ni ndogo na kusababisha kutofikia lengo letu mapema sasa tunatoa 750K kwa mwezi
CV zenu zote mtatuma katika hii namba WhatsApp 0759952554 mwisho wa kutuma maombi ni 25/9/2021
PAMOJA TUNAWEZA
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ila hii nchi hii dah! Sijui tunakwama wapi aiseeBabu kuwa makini...
Watakumaindi huku bado watu ni wajinga bongo, utabambikiwa makosa ya kimtandao........
Cryptosystem ni kubwa minahitaji wafanyakazi wote project ni kubwa kama una ndugu yako mwambie nafasi za kazi zipo aware
Nimeshapata mwanga tayari kutoka BOT na form za kujaza Ila tatizo ni moja tu bongoMkuu naomba nieleweshe sheria za bongo zinasemaje kuhusu mining na crypto kwa ujumla?
Maana kuna project nilitaka fanya sema nimekwama baada ya kuona tangazo la BoT kwamba crypto hairuhusiwi tanzania..
Naomba mwanga kiongozi!!
Tayari nimeshajipanga hata kwa maswala ya watakao dukua system yetu najua tu kuna watu hawapend kuona mtu afanya kitu cha tofauti hapa bongoBabu kuwa makini...
Watakumaindi huku bado watu ni wajinga bongo, utabambikiwa makosa ya kimtandao........
Team ipo vizuri kabisa kuzuia hayo maswala najua hta Japan kuna udukuzi ulifanyika na wakaiba pesa nying sanaUna hela ya kulipia servers + refund za udukuzi
Embu fafanua kidogo mkuuNimeshapata mwanga tayari kutoka BOT na form za kujaza Ila tatizo ni moja tu bongo
Nimeshapata mwanga tayari kutoka BOT na form za kujaza Ila tatizo ni moja tu bongo
Embu fafanua kidogo mkuu
Tutaelewana mkuuFafanua...........
Mwanga gani ?
Fomu zipi?
Tatizo gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji898][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee wewe ni kichomi balaa. Dr Shika na wewe mnaenda sambamba