Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,054
- 4,114
kuna hivi vifungashio vya plastic vinaangaza wanavitumia hata hawa wanaouza miwa mimi nahitaji kwa anaeuza anicheki au kama kuna chimbo wanauza naomba kufahamishwa nipajue
Kama uko Dar nenda K'Koo pale soko la Mbogamboga ulizia kwa Mhindi wanakouza Vifungashio ukifika tatizo lako litakuwa limekwisha.kuna hivi vifungashio vya plastic vinaangaza wanavitumia hata hawa wanaouza miwa mimi nahitaji kwa anaeuza anicheki au kama kuna chimbo wanauza naomba kufahamishwa nipajue
Mkuu tuelekeze kwa muhindi ni sehemu gani,Kama uko Dar nenda K'Koo pale soko la Mbogamboga ulizia kwa Mhindi wanakouza Vifungashio ukifika tatizo lako litakuwa limekwisha.
Upo dsm?sio unaelekezwa kwa mhindi k/koo kumbe upo iringaMkuu tuelekeze kwa muhindi ni sehemu gani,
kuna hivi vifungashio vya plastic vinaangaza wanavitumia hata hawa wanaouza miwa mimi nahitaji kwa anaeuza anicheki au kama kuna chimbo wanauza naomba kufahamishwa nipajue
Maduka ya rejareja wanavitumia sasa na pia sehemu mbalimbali wanaouza vitunguu,vitafunio na biashara nyingine ndogo ndogo kwahiyo wewe inabidi uwatafute vijana wale waliokuwa rambo za plastic unawauzia jumla wao wanaenda kutembeza madukani rejareja bei ya gazeti inazidi kupanda hivyo watu wanahitaji vifungashio hiviMkuu umepata soko lake wapi? Mi ninavyo hivyo vifungashio
Maduka ya rejareja wanavitumia sasa na pia sehemu mbalimbali wanaouza vitunguu,vitafunio na biashara nyingine ndogo ndogo kwahiyo wewe inabidi uwatafute vijana wale waliokuwa rambo za plastic unawauzia jumla wao wanaenda kutembeza madukani rejareja bei ya gazeti inazidi kupanda hivyo watu wanahitaji vifungashio hivi
Kwani hivyo vyenyewe havijaikatazwa
Wewe si umesema unavyo mbona unauliza tenaKwani hivyo vyenyewe havijaikatazwa