Natafuta vifaa vya Muziki, Ukiguswa tafadhali!!

Natafuta vifaa vya Muziki, Ukiguswa tafadhali!!

Karibu Sana Mkuu! Kwa kuongezea Tu now days Wasanii Na Producers wanataka vitu vingi viingizwe live, Ili hata msanii akienda fanya live show, Bendi itayopiga nyimbo live, Na Nyimbo original visitofautiane, zamani Producer waliweka vitu kibao kwenye beat ambavyo Ni artificial ikapelekea shida kwa Bendi inayopiga live nyimbo ya msanii, Kama utakumbuka Mara nyingi tulisikia Live show ya msanii, but nyimbo original Na live tofauti, Ni tofauti Na America, ambapo wasanii Kama Kanye anapotaka radha ya mdundo wa ngoma ya kiafrica kwenye beat yake, Yuko tayari kulipa pesa nyingi kumtoa mpiga ngoma West Africa mpaka America, kwa ajiri ya kuingiza Tu radha ya ngoma, Na itaingizwa live, but now days Na sisi tunajaribu!
Ni kweli kwamba miziki mingi inayotengenezwa studio bila vyombo live imekuwa ina tofauti kubwa pale msanii anapotumia live band kuimba wimbo ule na wakati mwingine kupelekea mashabiki kutoa lawama kwa band kwamba wameshindwa kuwapa ladha halisi ya wimbo husika.

Sasa katika mabadiliko haya ambapo sasa wasanii na producers wanaanza kurudi tena kwenye matumizi ya vyombo halisi katika kutengeneza miziki, hii haiashirii mwanzo wa kusahau utegemezi wa vyombo vichache vya studio, na pia ushirikishwaji wa wajuzi wengi wa kupiga hivyo vyombo halisi pale studio na ambavyo vitakuwa vinaongeza gharama kwa msanii mwenye wimbo wake?

Pengine hali hii inaweza kuleta maumivu makubwa kigharama hasa kwa wasanii wachanga ambao watatakiwa kujipanga hasa kabla ya kwenda studio kutengenezewa nyimbo zao.
 
Upo sahihi kabisa, Ni gharama kuingiza vyombo live, Na Ni producer wachache ambao wanaweza cheza keboard, wakacheza Gitaa NA vyombo vingine, Wasanii wachanga hawawezi kumudu, Utakuta Msanii mkubwa analeta mtu kuja kuingiza Gitaa la Solo, then ataleta mtu mwingine kuja kuingiza Bass Line n.k, tena alipe mtu aje aingize sijui Marimba n.k, Ni ngumu kwa msanii mchanga asiye Na Management yoyote!
 
Ungekuwa mchango wa harusi ungepata,lakini mchango wa kujitafutia maendeleo kaka funga buti mwenyewe hakuna wa kukusaidia au jaribu kamuone,diwani /mbunge wako wana hela za kuwasaidia vijana huko wilayani
 
Nnavyo Vyombo za mziki tuwasiliane
Nna gitaa za solo,drums etc
0715591141

Ova
 
Hongera sana kwa wazo zuri, ila mimi huwa sisapoti sana watu wenye mawazo kama yako kwasababu nimekutana na vijana wengi akishafahamu tu kupiga vyombo na akawa na utaalamu mdogo wa FL na Cubase basi nayeye anahisi anaweza kufungua studio studio.

Kwangu mimi skushauri ufanye hiyo kazi, lima kwanza u tafuta kazi ya maana ya kukuingizia kipato kwanza, hilo l studio liwe kama lengo la baadae. Vijana wengi wenye mtazamo kama wakwako wanakuwa waganga njaa tu kwasababu studio utakayofungua basically itakuwa ya kiwango cha chini sana kutokana na level ya uchumi wako na hivyo kupata wateja wa maana ni tatizo, utaishia kujirekodi mwenyewe tu na vijana wa kanisani kwenu au wa mtaani kwako kitu ambacho ni hasara tu.

Fungua studio ukisha kuwa na uchumi wako na mtaji wa kutosha kutengeneza studio ya ukweli amabayo hata vifaa vitakuwa sio vya mawazo.

Unakuta mtu unanunua kasaound kadi ka milioni sijui lako nane, mtu akisikiliza ulichorekodi ni kama umerekodia kwenye debe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom