THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Waungwana nahitaji vifaa vya mazoezi ya Gym.Kama kuna mwenye kufahamu namna ya kuvipata tafadhali anijuze.Nahitaji zaidi used nimeambiwa vipya vingi ni famba.
Kama nikipata picha na bei itakuwa burudani zaidi.
Kama nikipata picha na bei itakuwa burudani zaidi.