Kwenye tasnia ya filamu kazi za producers sio ku shoot wala ku edit.
ni kutafuta wadada wazuri tu ndio kazi yao..
0715177172 anaitwa stive wasiliananaeWandugu,
Bado natafuta mtu yeyote ambaye yuko Bongo mwenye utaalam wa ku-shoot na ku-edit videos. Kama una background ya journalism hiyo itakuwa murua zaidi. Tafadhali wasaliana na mimi kama una utaalamu huo ili tuzungumze zaidi juu ya mpango mzima.
Kama una mifano ya kazi zako sehemu kama YouTube, Vimeo, etc tafadhali unitumie links za kazi yako.
Email yangu ni mettyn@gmail.com.
Asante Amocha. Email ya Stive unayo? Nitashukuru.
Wandugu,