Naomba kujua namna ya kuedit simple videos kwa PC

king online

Member
Mar 30, 2018
34
17
Wakuu me ni mgeni kwenye ulimwengu wa pc ndo nimenunua ila pc yagu ni ndogo HDD 120gb

Ram 2gb

Sasa nilikuwa nataka kuuliza ni program ipi inaweza nisaidia ku edit simple videos bila kuongeza effect zozote

Kama ni ndio inawezekana

Basi program iwe na uwezo wa kufanya haya

1-ku cut clips
2-kuongeza clips kwenye clip nyingine
3-kuweka sauti yangu kwenye clips
4-kuweka sauti ya music mwingine kwenye clips (nikimanisha ku mute sauti halisi na kuweka yangu)

4-kuunganisha pictures na kutoa maelezo kama wanavyofaya youtubers

5-baada ya kuwa nimeitengeneza kwenye video cover nikaanza kuweka majina yani(naweka kapicha kadogo ka istagram mbele yake naweka my user name na kwa youtube hivyo hivyo)kama wanavyofaya wengi pia juu kuweka youtube name kama wanavyoweka (ITV) juu

naomba mnisaidie wadau kwa hayo nilioyataja juu kama yanawezekan na yaiwa hayawezekani yote ni magapi yanawezekana

NATUMAI MTANISAIDIA NDUGU ZANGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Naamini zipo za low end compared na hizo zilizotajwa na mkuu avatar mok kwa sababu minimum specs kwa adobe premiere zinahitaji 16gb ram na graphics card yenye memory kuanzia 2gb. Ukitaka kutumia hizo program kwenye pc ndogo itakubidi kutengeneza proxy na Adobe media encoder
 
Windows movie maker ndio nyepesi zaidi na rahisi zaidi.

Pia kama una cpu ya intel kuanzia 2nd gen tumia cyberlink powerdirector, pia sio nzito na inakubali quicksync itapunguza sana render time.
 
Back
Top Bottom