Natafuta uwakala wa star times | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta uwakala wa star times

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by fige, Dec 8, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina hakika kama songea ving'amuzi vya star times vinafanya kazi.kama vinafanya kazi kama kuna mtu humu anajua jinsi ya kupata uwakala naomba anijuze.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Achana na upuuzi wa star times. They are hopeless, si vizuri ukawadhulumu wanasongea kwa low quality TV services. Acha hiyo kitu kama hutaki kuhukumiwa na mungu.
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama wewe ni CCM go ahead..........lakini ni upuuzi mtupu huo. Hawa ndio wanaotupa umaskini na kuchukua ajira za wamachinga maana wachina wote wanakuja kupitia star times.
   
Loading...