Wakuu,
Kama kuna mtu ana marine board zilizotumika mara 1 na bado zipo kwenye hali nzuri, anipm tuongee biashara.
Vile vile kama kuna mtu anamirunda pia ninazitafuta.
Usipende sana vya bure bro kwanini usiende kunua vipya sidhani kama vitafaa sana kwa kazi hivyo vitu!na bei yake haitakuwa na tofauti sana na vipya!!pia ni hatali kwa watumiaji!!
Ok wait
Mkuu ulipata hizi vitu??Wakuu,
Kama kuna mtu ana marine board zilizotumika mara 1 na bado zipo kwenye hali nzuri, anipm tuongee biashara.
Vile vile kama kuna mtu anamirunda pia ninazitafuta.