Natafuta ufadhili wa kusoma

Natafuta ufadhili wa kusoma

SlimBoy

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Kwanza nashukuru sana being kwa hili jamvi

Mm nimemaliza diploma ya procurement and logistics mgt TIA ila mpk leo hii sijaweza na kuendelea kusoma kwa tatizo la ada yeyote mwenye idea amvapo naweza pata ufadhili wa kusoma degree ntafyrahi sana huwa nashindwa hata kuomba chuo kwa kuwa sina uhakika na ada

Sifa za kuendelea na degree ninazo
 
Kama sifa unazo nina imani hata sifa za kupata mkopo bodi ya mikopo unazo hebu apply sasa
 
Back
Top Bottom