Natafuta ubao wa mchezo wa Darts

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,519
Natafuta ile board ya kuchezea darts pamoja na ile mishale yake yaani full set. Nataka nitumie kama pambo ukutani na pia kuwafundisha watoto michezo tofauti na waliyozoea.

Sehemu gani wanayouza hapa jijini Dar es Salaam.
 
Asante sana mkuu kwasasa niko mbali na jiji ila nikirud ntajaribu kufatilia hapo
 
Kariakoo wanauza sh elfu 60.
Pale tahfif stationeries.
Asante kwa taarifa nitaenda pia kuangalia. Inaonekana hapo ni cheap kuliko kuagizia nje. Asante sana. Kama kawaida nikienda nitaleta mrejesho

Uzuri wa ile board ni kama pambo nyumbani na pia ni mchezo mzuri
 
Angalia kuna topiki kwenye uchumi na biashara wameeleza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…