Natafuta Tv nchi 32 kuendelea mbele

Natafuta Tv nchi 32 kuendelea mbele

Unazungumzia tv za unganga za kumwona mtu wakati unaganga au tv hivi za kawaida tulizozizoea.Ila kama hizi zakawaida tuambie uko mji gani manake si kawaida.
 
Una shs ngapi?? Coz yangu ina nchi zote za africa,europe na asia.Hapo 32 zimepita kitambooo
 
Hahahha punguzen uchizi basi... Seriously i need tv flat screen inch 32, if anyone hav it pm me pls
 
Ipo LED singsung brand nakuuzia million moja cash ni mpya!
 
Ipo 32 , 21, and may others. All are new all type we do not deal with chineese model.call 0716 369299
 
Back
Top Bottom