mjusikenge
Member
- Oct 26, 2016
- 70
- 38
Wakuu mm!! n mwanafunzi wa chuo kikuu Dodoma naingia mwaka wa 3.....nasomea ualimu katk masomo ya physics na maths....nahitaji wanafunzi wa kuwasaidia kwa malipo ya kawaida sana...Kwa wazazi/walezi walio makini...naomba msiniangushe....ahsanteni kwa ushirikiano wenu..napatikana Dodoma......extension..kwa mawasiliano napatikana kwa mamba 0757570513