Natafuta Truck Tire Changer

Natafuta Truck Tire Changer

Baba JJ

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
194
Reaction score
98
Mashine hiyo niya kubadilisha/kufumua matairi ya gari kubwa na ndogo, nahitaji kwa ajili ya workshop yangu. Naweza kupata wapi hapa Dsm? Mwenye nayo tuwasiliane 0715465147 .
Nipo dsm
 
Back
Top Bottom