Philemon38 Member Joined May 30, 2018 Posts 74 Reaction score 33 Jan 6, 2023 #1 Je, naipata wapi chemical hii? na kuna uwezekano wa kuiandaa katika maabara za mashuleni?
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,286 Jan 6, 2023 #2 Unataka ya nini mkuu? Umefungua bucha la samaki?
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,397 Reaction score 12,415 Jan 6, 2023 #4 Kainunue inauzwa hiyo, kama unataka nikuagizie nje nitafute.
Los técnicos JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 3,031 Reaction score 2,668 Jan 7, 2023 #5 Philemon38 said: Je, naipata wapi chemical hii? na kuna uwezekano wa kuiandaa katika maabara za mashuleni? Click to expand... Unaihitaji kwa kazi gani? Unazijua tahadhari unazohitaji kuihandle? Unazijua athari zake?
Philemon38 said: Je, naipata wapi chemical hii? na kuna uwezekano wa kuiandaa katika maabara za mashuleni? Click to expand... Unaihitaji kwa kazi gani? Unazijua tahadhari unazohitaji kuihandle? Unazijua athari zake?
Philemon38 Member Joined May 30, 2018 Posts 74 Reaction score 33 Jan 7, 2023 Thread starter #6 Imalamawazo said: Unataka ya nini mkuu? Umefungua bucha la samaki? Click to expand... 😀
Philemon38 Member Joined May 30, 2018 Posts 74 Reaction score 33 Jan 7, 2023 Thread starter #7 Los técnicos said: Unaihitaji kwa kazi gani? Unazijua tahadhari unazohitaji kuihandle? Unazijua athari zake? Click to expand... kufikia kuitafta tayari nishaifahamu fika
Los técnicos said: Unaihitaji kwa kazi gani? Unazijua tahadhari unazohitaji kuihandle? Unazijua athari zake? Click to expand... kufikia kuitafta tayari nishaifahamu fika
grandMullah23m JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 248 Reaction score 339 Jan 9, 2023 #8 Hahaha...mkuu hii ukititrate na sulphuric acid unapata kimiminika chakupoza nafsi...65% Sent from my TECNO DP10A using JamiiForums mobile app
Hahaha...mkuu hii ukititrate na sulphuric acid unapata kimiminika chakupoza nafsi...65% Sent from my TECNO DP10A using JamiiForums mobile app