Natafuta treated timber

Natafuta treated timber

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
habari wadau, naulizia bei ya treated timber kwa futi au mita 1 na mahali napoweza kuzipata kwa ukaribu ili kuzifikisha mbagala rangi tatu!
 
mkuu unataka size gani kwanza maana kna 2*2, kna 2*4, kna 2*6...ila nachojua wanauzaga kwa futi.wewe unataka sizw gani hapo.maana znapatikana sehem nyingi tu inategemea wewe uko wapi
 
mkuu unataka size gani kwanza maana kna 2*2, kna 2*4, kna 2*6...ila nachojua wanauzaga kwa futi.wewe unataka sizw gani hapo.maana znapatikana sehem nyingi tu inategemea wewe uko wapi

2×2 na 4×2 kwa futi, nipo mbagala
 
alafu 4*2 ni 430 kwa futi mkuu....
 
zinapatikana wapi ambapo haitakuwa mbali na mbagala?
 
Cheki Buguruni pia zinapatikana kwa wingi. Nakushauri pia wakati wa kununua nenda na futi yako na fundi wako wa kuchagua mbao na kuhakikisha urefu wa vipimo uko sawa. Kuwa makini na madalali kwani wana futi zilizokatwa ili kupunguza urefu na watu hawa ni hatari sana kwani wana connections na wauza mbao hivyo kuwa makini sana. Chukua fundi wako na futi yako mpya kutoka dukani usitumie futi za madalali wala muuza mbao.

Kuwa makini mkuu wangu
 
Back
Top Bottom