Natafuta trays za mayai

kichakorojack

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
78
Reaction score
12
Habari zenu wakuu. Naomba mtu anyeweza kunielekeza sehemu wanapouza trays za mayai kwa bei nafuu. Nahitaji zile za makaratasi zinazokaa mayai 30 pamoja na zile za plastic zinazokaa mayai 6 mpaka 4.

Mwenye nazo au anayejua mahali zinapopatikana naomba ani pm.

Asanteni.
 
Habari zenu wakuu. Naomba mtu anyeweza kunielekeza sehemu wanapouza trays za mayai kwa bei nafuu. Nahitaji zile za makaratasi (mabox) zinazokaa mayai 30 pamoja na zile za plastic zinazokaa mayai 6 mpaka 4.

Mwenye nazo au anayejua mahali zinapopatikana naomba ani pm.

Asanteni
 
Mi najua za plastic zinazokaa mayai 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…