Muhimu iwe ktk good condition na bei inayolizisha. Kwa hapa dar au dodoma itakuwa vizuri zaidi kwa sababu ya logistics, ila ata kama ni nje ya hapo si vibaya kunicheck pia.
Kaka mimi ninayo Glanza nyeupe ipo in very good condition, ina turbo with turbo timer. kama utapenda piga simu 0684885441...Nipo dar....
Fanya fasta as wahindi wanataka inunua....