Ndugu wana jf kwa yeyote mwenye taarifa naomba anifahamishe, ninahitaji toyota raum iliyotengenezwa kuanzia mwaka 2000. Natanguliza shukrani
Jaribu kutembelea www.tradecarview.com na www.gariyangu.com utapata unachokitaka na maelezo yote
ikishindikana ku-import basi ingia kwenye yard za magari town ambazo mimi huwa nayaita expensive used cars.
pitia huo mtandao kwani hata mimi nimeagiza raum via tradecarview na naitumia mpaka sasa