Natafuta Toyota Raum! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Toyota Raum!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by analysti, Dec 26, 2010.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Ndugu wana jf kwa yeyote mwenye taarifa naomba anifahamishe, ninahitaji toyota raum iliyotengenezwa kuanzia mwaka 2000. Natanguliza shukrani
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hiyo itakuwa ghali sana kuliko VX/GX za serikalini (used). Kwa nini usiulize lini serikali itapiga mnada magari yake yaliyotumika vya kutosha? Huenda ukapatahata kwa 2m lol!
   
 3. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jaribu kutembelea www.tradecarview.com na www.gariyangu.com utapata unachokitaka na maelezo yote
  ikishindikana ku-import basi ingia kwenye yard za magari town ambazo mimi huwa nayaita expensive used cars.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,959
  Trophy Points: 280
  geuka nyuma yako unaweza kuiona imejificha hapo
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pitia huo mtandao kwani hata mimi nimeagiza raum via tradecarview na naitumia mpaka sasa
   
 6. K

  Korosho Senior Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Vipi experience yako na Toyota Raum so far ? Unaweza kumshauri mtu ainunue ?
   
Loading...