shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Jul 17, 2015 #1 husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kwa ajili ya kutrack muda ikifika muda nilioset pc ijizime ni kwa ajili ya internet cafe ikiwa na key zake na bure itakuwa powa zaidi. with regard.
husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kwa ajili ya kutrack muda ikifika muda nilioset pc ijizime ni kwa ajili ya internet cafe ikiwa na key zake na bure itakuwa powa zaidi. with regard.
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Jul 17, 2015 #2 timewatcher.de hiyo ya kwanza zaid ya hapo ingia kwenye torrent tafuta handycafee au antamedia
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 314 Jul 17, 2015 #3 Handycafe ndo mpango mzima