loved girl
Member
- Jan 29, 2022
- 74
- 89
Sawa dearloved girl ungesindikiza na vipicha basi mwanangu mzuri?
Ona ulivyo na ulimi mtamu...naamini na vyakula kadhalika😂Sawa dear
Acha bhana muheshimu binti yangu mzuriloved girl huku unaweza ukapokea order chakula ikawa ni wewe. Anyways, wapo pia waungwana humu, hivyo usitie shaka.
Sawa mkuu naona ushaanza kutoa order muhimu.Acha bhana muheshimu binti yangu mzuri
Hapana mkuu yuko mbali sana kutoka niliko.Sawa mkuu naona ushaanza kutoa order muhimu.
Safi sana dada! Hongera na Mungu akufanikishe.Hellow, Habari zenu waungwana,
Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo natafuta oda ya vyakula mbalimbali, nina uwezo wa kupika vitafunwa, chakula cha mchana, kutengeneza juice na vimiminika vingine.
Pia napokea oda ya mikate na vitafunwa kwa mashuleni, kwasasa napikia nyumbani, kutokana na sababu za nje ya uwezo wangu, napatikana Dodoma karibu na road fund.
Nipe oda nikupikie chakula kwa ladha tamu ya chakula na usafi wa hali ya juu, bei poa, asante.
Mkuu , unaweza kuwa unafatilia watu wanaitwa word visionSafi sana dada! Hongera na Mungu akufanikishe.
Binafsi napenda kufanya kazi za Catering (ni Passion yangu pia). Nimejitolea kwa miaka kadhaa nikiwa chuo na hata baada ya kumaliza. Ungekuwa upo Dar es Salaam, ningekutafuta tufanye wote kazi.
Wanapatikana dar tu??Mkuu , unaweza kuwa unafatilia watu wanaitwa word vision
Wanatoaga tenda Sana za Chakula na wanalipa vizuri wewe unaweza kufatilia zaidi kwakuwa upo dsm then uanaenda unamtafuta Mtu mwenye vyombo mnafanya Kazi mkuu
Ahsante kwa hiyo taarifa. Ila kwa sasa bado nipo Kigoma na kwenda Dar mpaka Desemba labda. Nitafuatilia lakini.Mkuu , unaweza kuwa unafatilia watu wanaitwa word vision
Wanatoaga tenda Sana za Chakula na wanalipa vizuri wewe unaweza kufatilia zaidi kwakuwa upo dsm then uanaenda unamtafuta Mtu mwenye vyombo mnafanya Kazi mkuu