Natafuta tenda ya kupika

Natafuta tenda ya kupika

SUZAN NYATI

Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
35
Reaction score
12
Company ni GIBBO CATERING, specialist in African food. Wedding and corporate events, private functions and many more. All menus custodies to meet your personal needs.

Namba yangu ni 0676 983196
 
Nakodisha restaurant hapo dar maeneo ya Banana, kama uwezo wa kuendesha na mtaji mnavyo. Ni-PM
 
hongera sana kwa kutangaza biashara hayo ndio matumizi sahihi ya mtandao...nimekupenda bure
 
poti mbona hivyo jamani? yaani mwenzio anatangaza biashara yake halafu wewe unamchokoza: iiiiii bebe nang'we kumbe uli nchokozi gete

Biashara na wake za watu hazinogi pot !
Alaf nina kes na ww mana naona unajidai nyegez kona hupajui na
Ukielewa kaa .kimya!
 
Back
Top Bottom