Keleni Tangila
Member
- Apr 29, 2017
- 11
- 5
Gunia kilo 100 bei gan tuanzie hapa kwanza maana umetoa mfano wa bei ya kibakuli cha 1000 kitu ambacho watu wa mikoani hawawez kuagizaWadau Mimi naitwa Keleni niko kasulu natafuta matajili watakao nipa tenda ya kununua mahindi sisi hapa kasulu mahindi ni mengi kwa bakuli la kilo moja na nusu tuna nunua shilingi 1000 naomba kazi hiyo kwa ninyi ambao mko mikoani nitafute kwa namba 0757250813 au 0745053835
Hiyo bei ipo juu sana.Muone Milton pale sofya aratibu bei vinginevyo fuatilia kule kagera nkanda.Njoo tena kwenye tenda baada ya kutekeleza hayo kisha tukufuate.Kwa sasa yameshuka kilo moja na nusu tuna nunua 800
Kwan mkuu gunia la kilo 100 linauzwaj,, na je nikihitaj gunia tano na ninatak pia kuzisafrish kwend mwanza inawezkan?Asante bwana lubamba uko pande zipi
Usafir kufk mbeya mjin ni shilng ngp kwa gunia…!!Mahindi huku songwe kg 100 tsh 60000
Mm nipo A town.Pande hizo nazipatapata.Hiyo bei ya kl 1.5 kwa 800 tena ksl hii ni hatari.Ina maana kl100= 60,000/shusha vinginevyo nenda darajani Kidiama kaka.Asante bwana lubamba uko pande zipi